Friday, 10 November 2017

Manchester United yaingiwa na hofu juu ya Jose Mourinho


Ripoti kutoka nchini Uingereza hii jana zinasema klabu ya Manchester United imenza kuwa na hofu juu ya kocha Jose Mourinho kwani anahisiwa kuikimbia ligi ya Epl kutokana na ushindani mkubwa.

Pep Gurdiola anatajwa kama sababu ya kumkimbiza Jose Mourinho kwani inaonekana Mourinho anaamini kwa sasa hawezi kushindana na Pep Gurdiola anayeonekana kuwa tishio kubwa hivi sasa.

Jose Mourinho anahusishwa na kutua katika klabu ya PSG tetesi ambazo zilishawahi kuibuka mara ya kwanza lakini baadae zikazima lakini hivi sasa inasemekana kuna ukweli kuhusina na jambo hilo.

Inadaiwa kwamba kutokana na umaarufu na upinzani wa muda mrefu kati ya Jose Mourinho na Pep Gurdiola inamfanya Mreno huyo kujisikia vibaya pale anapoona Pep ana kikosi kinachoonekana kutozuilika.

Pamoja na kiasi cha £300m ambacho United walitumia katika usajili uliopita lakini Mourinho anadaiwa kuhitaji tena kufanya usajili mwingine suala ambalo mabosi wa United ni ngumu kulitekeleza.

Mourinho ndio kwanza yuko nusu ya mkataba wake ambapo aliahidi msimu huu anaweza kufanya makubwa, japo hadi sasa hawako katika nafasi mbaya lakini tayari ameshawahi kuongelea kutamani kwenda Ufaransa.

Katika moja ya mahojiano yake Mourinho alisema hatamaliza kazi yake ya ukocha katika United na akisema Paris kuna jambo maalum huku akikiri hata mwanae alifurahi alipoekwenda Paris akaona mechi ya PSG.

Hadi sasa Manchester United wako nafasi ya pili Epl wakiwa na alama 23 ikiwa ni nane nyuma ya City walioko kileleni na alama 31 huku timu yao ikiwa imefunga mabao 50 katika mashindano yote tangu kuanza kwa msimu.

Thursday, 9 November 2017

Hofu Yatanda Manchester United juu ya kocha wao Jose Mourinho Muungwana

Image result for jose mourinho
Ripoti kutoka nchini Uingereza hii jana zinasema klabu ya Manchester United imenza kuwa na hofu juu ya kocha Jose Mourinho kwani anahisiwa kuikimbia ligi ya Epl kutokana na ushindani mkubwa.

Pep Gurdiola anatajwa kama sababu ya kumkimbiza Jose Mourinho kwani inaonekana Mourinho anaamini kwa sasa hawezi kushindana na Pep Gurdiola anayeonekana kuwa tishio kubwa hivi sasa.

Jose Mourinho anahusishwa na kutua katika klabu ya PSG tetesi ambazo zilishawahi kuibuka mara ya kwanza lakini baadae zikazima lakini hivi sasa inasemekana kuna ukweli kuhusina na jambo hilo.

Inadaiwa kwamba kutokana na umaarufu na upinzani wa muda mrefu kati ya Jose Mourinho na Pep Gurdiola inamfanya Mreno huyo kujisikia vibaya pale anapoona Pep ana kikosi kinachoonekana kutozuilika.

Pamoja na kiasi cha £300m ambacho United walitumia katika usajili uliopita lakini Mourinho anadaiwa kuhitaji tena kufanya usajili mwingine suala ambalo mabosi wa United ni ngumu kulitekeleza.

Mourinho ndio kwanza yuko nusu ya mkataba wake ambapo aliahidi msimu huu anaweza kufanya makubwa, japo hadi sasa hawako katika nafasi mbaya lakini tayari ameshawahi kuongelea kutamani kwenda Ufaransa.

Katika moja ya mahojiano yake Mourinho alisema hatamaliza kazi yake ya ukocha katika United na akisema Paris kuna jambo maalum huku akikiri hata mwanae alifurahi alipoekwenda Paris akaona mechi ya PSG.

Hadi sasa Manchester United wako nafasi ya pili Epl wakiwa na alama 23 ikiwa ni nane nyuma ya City walioko kileleni na alama 31 huku timu yao ikiwa imefunga mabao 50 katika mashindano yote tangu kuanza kwa msimu.

Sababu za Neymar kwenda Real Madrid Zawekwa Wazi



UTABIRI wa kwamba nyota Neymar ataondoka Paris Saint-Germain kwenda Real Madrid umezidi kupewa nafasi, safari ikidaiwa mahusiano yasiyoridhisha na kocha Unai Emery yanaweza kuwa sababu.

Inaelezwa kwamba Emery amekuwa ni kocha mwenye historia ya msimamo mkali wa kinidhamu kwa wachezaji wake, ambaye hutaka wamsikilize na kufuata mafundisho yake kuelekea kwenye mechi.

Wasiwasi umeanza kuibuka kwamba Emery hataweza kuishi na Neymar kwa sababu ni mchezaji ambaye hatamudu kumpa maelekezo namna ya kuwapita mabeki keuelekea kwenye mechi.

Na kama mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa dau la rekodi ya dunia Paris Saint-Germain ataendelea kuwa mfalme wa klabu, wazi kocha huyo hatakuwa na furaha.

Emery hajawahi kuwa na chumba cha kuvalia nguo chenye wachezaji ghali namna hiyo kabla na pia hawezi kuhoji chochote juu ya majukumu ya Neymar kwa sababu hakutwaa mataji ya Ligue 1 na Ligi ya Mabingwa msimu uliopita.

Baada ya matokeo hayo, mchezaji huyo wa ghali wa dunia ameletwa ili kuisaidia timu kushinda mataji.

Lakini Emery anaona Neymar alikuwa tatizo katika kugombea kupiga penalti na Edinson Cavani.
Pia kuna tetesi kwamba msimu huu Neymar atatumika mno katika mechi za mashindano ya ndani, hivyo atahitaji kupumzishwa kabla ya Ligi ya Mabingwa na mechi za timu yake ya taiga.

Hawezi kushinda Ballon d'Or kwa kutwaa taji la Ligue 1, hanahitaji kushinda Kombe la Dunia na Ligi ya Mabingwa kwa ajili hiyo.

TAKWIMU ZA NEYMAR KLABU YA PSG 2017/18

Ligue 1

Mechi alizocheza: 8           Mabao aliyofunga: 7

Pasi za mabao: 6

Ligi ya Mabingwa

Mechi alizocheza: 4  

Mabao aliyofunga: 4

Pasi za mabao: 3

Huku PSG ikitarajiwa kutwaa ubingwa wa Ligue 1 bila kuvuja jasho, inafikiriwa Emery atakuwa katika wakati mgumu kwa sababu atashindwa kuwatazama wachezaji wengine kama yeye ndiye hatakuwa wa kuamua nani wa kupumzika na lini.

Gazeti kubwa nchini Ufaransa, L'Equipe liliandika kwamba mahusiano baina ya Neymar na kocha  – na tofauti iliyoibuka mapema tu kati ya Neymar na Cavani, mwisho wa siku mshindi atakuwa mmoja tu.

Cavani anacheza vizuri kwa sasa kuliko wakati wote na amekuwa mchezaji muhimu hata kwenye timu yake ya taifa kuelekea Fainali za Kombe la Dunia mwakani, tena zaidi ya mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez aliyeingia kwenye ukame wa mabao kwa sasa.

Gazeti la Le Parisien liliandika mwezi uliopita kwamba Neymar anafurahia maisha kutokana na vipaumbele alivyowekewa katika klabu hiyo – ikiwemo kuwa na wataalamu wake mwenyewe wa kuyaweka maungo yake vizuri mjini Paris na si Rafael Martini au Ricardo Rosa anayemhudumia mchezaji mwingine yeyote.

Zlatan Ibrahimovic alikwenda na physio wake mwenyewe pia PSG.

Neymar ni mchezaji pekee ambaye hasafiri na begi rasmi la timu, kwani ana mabegi yake maalum anayosafiri nayo.

Amepewa ruhusa maalum ya kutorudi nyuma wakati wa mechi na wachezaji wengine wameambiwa kutomuingia kwa nguvu mazoezini ili wasimuumize.

Haya yote ni kwa mujibu wa vyombo vya Habari nchini Ufaransa.

Wakati huo hyuo tetesi za kwenda Real Madrid zimeibuka rasmi wiki hii kuhusu mchezaji huyo wa tatu kwa ubora duniani kwa sasa.

Sergio Ramos alikuwa mwenye furaha kuzungumzia mchango wake. "Ningependa kuwa na mchezaji bora na ni wazi Neymar ni miongioni mwao.

Inakumbushwa pia kwamba Real Madrid walimtaka Neymar alipokuwa mdogo katika klabu ya Santos ya nyumbani kwao na sasa Cristiano Ronaldo akiwa ana umri wa miaka 33 na msimu huu akiwa amefunga bao moja tu kwenye ligi hadi sasa kuna mahitaji makubwa ya kusajiliwa nyota mwingine.

Madrid walitarajia Ronaldo angekwenda PSG msimu huu na wao wangetoa fedha kumsajili Neymar lakini klabu ya Paris ikaharibu mpango huo kwa kumuwahi Mbrazil huyo.

"Labda ilikuwa rahisi kwake kwenda PSG, kuliko kuja moja kwa moja Real Madrid,"alisema Ramos katika mahojiano na kituo cha Redio nchini Hispania, Cadena Ser.

Neymar ambaye angepoteza haki zake zote Barcelona kama angehamia moja kwa moja Madrid, hadi sasa akiwa PSG amefunga mabao 11 katika mechi 12.

Pamoja na mwanzo huu mzuri katika miezi yake mitatu ya mwanzo, kuna uwezekano akaondoka PSG ikiwa Real Madrid na Manchester United zitaamau kuwania saini yake.

Na hilo litawezekana kwa wepesi iwapo PSG hairafanya vizuri kwenye hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mapema 2018, kwani Neymar atakuwa na mzunguko wa pili mrefu.

OBREY CHIRWA ANG'ARA ZAIDI YA IBRAHIM AJIBU NA ERASTONYONI

Image result for CHIRWA

Mshambuliaji wa Young Africans , Obrey Chirwa amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya ya Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2017/2018.

Mshambuliaji huyo amedaiwa kutoa mchango mkubwa kwa klabu yake ya Young Africans mwezi huo ikipata pointi saba katika michezo mitatu iliyocheza na kupanda katika msimamo wa ligi kutoka nafasi ya sita iliyokuwepo mwezi Septemba hadi ya pili mwishoni mwa Oktoba.

Kiwango cha mchezaji huyo kilionekana pia katika mchezo wa watani wa jadi Yanga na Simba uliofanyika Oktoba 28, 2017 Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya bao 1-1. bao la Yanga lilifungwa
na Chirwa.

Chirwa raia wa Zambia alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, beki Erasto Nyoni wa Simba na mshambuliaji Ibrahim Ajib pia wa Yanga alioingia nao fainali katika uchambuzi uliofanywa na Kamati ya Tuzo za VPL zinazotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

VACANCIES ANNOUNCEMENT FROM TANZANIA WOMEN'S BANK (TWB)



VACANT POSITIONS

1. FINANCIAL ANALYST

JOB TITLE: FINANCIAL ANALYST
DEPARTMENT:FINANCE & TREASURY
REPORTING TO: HEAD OF FINANCE &TREASURY

JOB SUMMARY:Responsible for improving the financialstatus of the Bank by analyzing results,monitoring variances, identifying trends, comparing and analyzing actual results with plans and forecasts and recommending actions to management.

QUALIFICATION AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

For the technical skills, the applicant must possess Bachelor Degree in Accounting, Finance, or Economics from a recognized institution. CPA is an added advantage. The applicant must have 3 years’ experience in Banking Sector or from an equivalent financial institution.  Proven competence in Software Packages for Financial Analysis, Accounting, and other relevant Microsoft Office (Excel and Access) is a must.

The applicant should demonstrate soft skills such as positive attitudes to work, readiness to learn, communication and writing skills. Innovation and creativity in initiating and managing multiple projects to completion are necessary skills for this job.

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Track expenses and revenues vs. budget and reforecast and analyze fluctuations.
·         Prepare, review and distribute monthly management reports;
·         Prepare quarterly operating reports;
·         Manage the general ledger with focus on risk management in particular the accounts payables;
·         Prepare financial reports with reliable conclusions that management can use to implement more effective operational strategies;
·         Forecast models for revenue changes and expenditure increases/decreases.
·         Evaluate profit and cost efficiencies in various areas of the organization as needed;
·         Develop, maintain and distribute financial models as needed;
·         Perform any other duties as may be assigned and/or assigned by the Head of the Department and/or Managing Director.

2.  HEAD OF INTERNAL AUDIT

JOB TITLE: HEAD OF INTERNAL AUDIT
DEPARTMENT:AUDIT
REPORTING TO:  BOARD AUDIT, RISK, AND COMPLIANCE COMMITTEE AND TO THE MANAGING DIRECTOR

JOB SUMMARY: Responsible for auditing Head Office departments and branches and preparations of Audit Report for the Board of Directors in accordance to the Bank’s Procedures and Policies as well as Good Corporate Governance.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

For the technical skills, the applicant must a holder of CPA (T) or equivalent and should possess a Bachelor Degree in Accounting and/or Business Studies. Minimum required experience in 5 years in audit functions preferably from a banking sector. The candidate must have extensive banking knowledge, and risk management techniques in banking institutions knowledge.  Competence in Audit Information Systems and Banker’s Realm Accounting Systems is of an added advantage.

The soft skills required include proven excellent skills in written and oral communication. The candidate must be reliable and trustworthy.  Having independent judgment is key to this job.

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Carry out audit of Head Office departments and branches as per the audit plan.
·         Prepare quarterly audit report for submission to Board of Directors and toExternal Auditors upon request.
·         Examine and report on the institution’s internal controls for better management ofthe resources.
·         Efficient administration of the Internal Audit department.
·         Appraises staff performance in the Internal Audit department.
·         Formulates and recommends long term and short term plans of the Audit Department.
·         Prepares work programmers for the Audit Department for submission to the AuditCommittee of the Board of Directors for Approval;
·         Examine and assess adequacy of risk management systems of the institution andreport to the relevant authority;
·         Perform independent system risk assessment of the bank;
·         Perform any other duties as may be assigned by the Board of Directors and/or the Managing Director.

3. MANAGER OF RISK MANAGEMENT

JOB TITLE: MANAGER RISK MANAGEMENTAND COMPLIANCE
DEPARTMENT: RISK MANAGEMENTAND COMPLIANCE
REPORTING TO: MANAGING DIRECTOR

JOB SUMMARY: Responsible for coordination of risks management functions in the bankas well as ensuring compliance to the gender aspect of the bank.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The applicant mustbe a holder of a Bachelor Degree in Business, Finance, Economics, and/or related subjects from a recognized institution.  CPA (T), ACII, CISA, CRISC, and/or MBA are of an added advantage. The candidate should have background on Compliance and Knowledge of Fraud Detection Systems as well as knowledge on Anti-Money Laundering and Combating the Financial Terrorism (AML/CTF) Guidelines.  For this position, the applicant must have 6 years of experience in banking risk management functions.

Soft skills required for this position include research skills, innovation and readiness to learn. Flexibility and readiness to working in emergency and non-work hours as need may arise, confidence and leadership skills are also key skills required for this job.


RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Develop the Enterprise Risk Management Policy for the Bank;\
·         Guiding Integration of Enterprise Risk Management with other organizational planning and management activities;
·         Liaise with Departmental Heads in ensuring completion of quality departmental risk registers;
·         Identify training needs for Risk Management and oversee development of enterprise risk competence and awareness across the company;
·         Evaluate the adequacy of the Bank’s internal control framework in addressing risks and accomplishing the bank’s goals and objectives;
·         Work with Board Audit, Risk and Compliance Committee in ensuring the identification and prioritization of risk and reporting of the same;
·         Proactively identify emerging risks and report to the relevant stakeholders;
·         Develop Risk Management system and train departmental risk champions
·         Test the effectiveness of cascading Risk Management approach to business decision making;
·         Attend Board Audit, Risk and Compliance Committee meetings;
·         Perform any other duties as may be assigned by the Managing Director.

4. CREDIT OFFICER

JOB TITTLE: CREDIT OFFICER
Department: CONSUMER AND BUSINESS BANKING
Reporting: SERVICE CENTRE SUPERVISOR

JOB SUMMARY: Responsible for empowering women through business training and advancement of capital. Focus on recruiting new potential borrowers, examining loans applications, advising potential borrowers, facilitate and build Savings Culture and Monitoring Loans Repayments.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The applicant must hold a Bachelor’s Degree/ Advance Diploma in Banking, Economics, Finance or Accounting. She/he should have 2 to 3 years of experience in banking sector and/or equivalent financial institution.  Knowledge and experience on microfinance is of an added advantage.

The soft skills are essential for this post. These include proven compassion and passionate on community and women development agenda, excellent communication and customer service skills, positive attitude, ability to listen and independent analysis of individual situations within a larger context framework.

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Meet with business women to determine their needs and recommend the right loan products to help meet their goals;
·         Maintain an active knowledge base of the Bank’s loan products and services offered and advice clients accordingly;
·         Identify and recommend products that meets the customer’s needs and the Bank’s lending guidelines;
·         Utilize professional judgement to determine which potential clients qualify to borrow per the Bank’s Lending Policy and Procedures.
·         Appraise client loan applications to ensure compliance;
·         Provide technical support and training to borrowing groups or individuals;
·         Submit required reports and attend group meetings on daily/weekly basis;
·         Facilitate credit product designing and packaging;
·         Identify training needs and supervise loans on a weekly basis following the procedures put in place;
·         Delinquent loan management and recovery;
·         Attend group/center meetings on daily basis;
·         Visit prospective clients’ businesses and provide recommendations;
·         Perform any other duties as may be assigned by the Branch Manager and/or Head of Department.


5. RECOVERY OFFICER

JOB TITLE: RECOVERY OFFICER
DEPARTMENT: CREDIT MANAGEMENT
REPORTING TO: RECOVERY MANAGER

JOB SUMMARY: Responsible for providing leadership in management andadministration of credit recovery functions.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIRED: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The applicant must be a holder of Bachelor Degree/Advanced Diploma in Banking, Economics, or Finance Accounting with minimum 3 years of banking experience in credit administration.

Soft skills required for this job includes communication (oral and listening) skills, persistence, independentjudgment, and ability to address with multiple cases simultaneously.

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Update the list of recovery case/accounts every after quarterly loan classification orwherever the loan deteriorates. Applies to both list of classified and charge off loan;
·         Review and prepare recovery appraisal reports and recovery strategy reports forevery cases on daily basis;
·         Oversee the implementation of approved recovery strategiesby the RecoveryManager;
·         Recover through sale of assets or securities;
·         Visit and follow-up defaulters to sensitize, encourage and pursue them to pay their Debts;
·         Review and prepare recovery appraisal and recovery strategy for negotiated loansfor Management approval;
·         Verify fully paid accounts and bid prices and recommend for the discharge ofmortgage securities for fully repaid loanand transfer of sold properties respectively;
·         Follow- up execution of court cases and decrees;
·         Manage and control of debt collection agents of the bank, i.e. Valuers, Auctioneers, Debt Collectors;
·         Create and maintain a list of sold or foreclosed properties of defaulters of the Bank;
·         Perform any other relevant duties as may be assigned by the Recovery Manager.

6. DIGITAL AND CONSUMER INSIGHT OFFICER

JOB TITLE: DIGITAL AND CONSUMER INSIGHT OFFICER
DEPARTMENT: CONSUMER AND BUSINESS BANKING
REPORTING TO: HEAD OF CONSUMER AND BUSINESS BANKING

JOB SUMMARY:Responsible forplanning and overseeing the gender based marketing initiatives on products and services..
   
QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must hold a Bachelor Degrees in Business Administration, Marketing, Graphic Designing or Communications from a recognized institution. She/he must have minimum of 2 to 3 years of experience in marketing at a financial institution.  Experience in working with digital media and knowledge of legal web management are of added advantage.
The soft skills required for this job include proven ability to interact and influence multiple sales channels, excellent communication skills, passionate about working with community-based projects and flexibility to work out of non-bank hours as need may arise.
The applicant must show enthusiasm to work for women empowerment and innovative to use digital space in reaching out women from different angles and areas in the country.

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Organize and attend marketing activities and events to raise the Bank’s Brand Awareness;
·         Plan advertising and promotional campaigns for products and services on a variety of media (Social, Print, etc.);
·         Manage online marketing and communications activities of the Bank’s Products and Services;
·         Ensure the content across in websites page, Facebook, Instagram is well-written, and utilized effectively to meet the Banks Marketing Strategy;
·         Prepare Content for the publication of marketing and oversee distribution;
·         Conduct market research to identify opportunities by listening, collect feedbackfrom consumers and provide recommendations forbusiness growth;  
·         Ensure the Bank‘s website pages and digital content (including Video) always is updated and appropriate;
·         Market the Bank by creating awareness on the products and services offered and promote cross selling by tacking all marketing and sales data, Maintain sales performance statistics and prepare reports for management usage;
·         Oversees the creative development of promotional materials, website content, advertisements, and other marketing-related projects;
·         Work closely with various media buyers, advertising agencies, printers, and other services to help our marketing projects come to achievement;
·         Perform any other relevant duties as may be assigned by the Recovery Manager.


7. PRODUCT SPECIALIST: SALARIED LOANS

JOB TITLE: PRODUCT SPECIALIST: SALARIED LOANS.
DEPARTMENT: CREDIT
REPORTING TO: PRODUCT MANAGER: SALARIED LOANS

JOB SUMMARY: Responsible for all control activities that have tobe done before and after disbursement of facilities to customers

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must be a holder of Bachelor’s Degree in Commerce, Business Administration, and Finance, Accounting or equivalent subject/qualification from a recognized institution. She/he must have at least 4 years of experience in salary backed loans.

The soft skills needed are desire and enthusiasm to exceed sales target without compromising internal controls, innovation and creativity in designed salaried loans packages, communication and interpersonal skills, and analytical skills.


RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Receive all prepared upload/deduction sheet from branch credit officers and Salaried Backed Loans sales team for review, compilation and submitting to responsible employer for uploadingthem in Lawson system;
·         Collecting the submitted upload/deduction sheet from employer and sort out the successful and the unsuccessful ones;
·         Receive and managing detailed repayment files from the treasury;
·         Tracking the upload sheet amount and sort out any irregularity;
·         Maintaining upload/deduction track sheet register by doing regular checks on dailybasis;
·         Share detailed feedback to zonal loan supervisor,branch credit officers and recovery team for further actions;
·         Initiate and propose recovery measures that has to be taken for the unpaidinstallments;
·         Liaise between TWB and Lawson teams in all governmentinstitutions;
·         Daily follow up of arrears report and immediately preparation of returns to employersfor deductions;
·         Preparing Classification of Loans report and internal credit reports on timely basis;
·         Following up death/burial certificate for diseased customer from employer or familymember, initiating insurance claim form and advise Branch Manager to requestfreezing of interests;
·         Perform any other duties as may be assigned by the Head of Department

8.CONTROLS AND QUALITY ASSURANCE ANALYST

JOB TITLE: CONTROL AND QUALITY ASSURANCE ANALYST
DEPARTMENT: INNOVATION AND OPERATIONS
REPORTING TO: MANAGER, OPERATIONS

JOB SUMMARY:Responsible for ensuring that TWB Credit, Customer and Cash Operations complies with all applicable legal, regulatory and operational risk requirements to minimize the risks which may result from non-compliance to operational policies and procedures.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must be a holder of Bachelor Degree in Commerce, Business Administration, Accounting or equivalent subject from a recognized institution. She/he must have 2 years of experience as a Risk, Audit or Internal Control Officer in a Bank or Financial Institution.  Demonstrative experience of branch operations of at least 3 years will be considered.  Of added advantage will be credit monitoring/supervision/inspection experience in commercial banking. The candidate must possess competence in risk and control skills, understanding of legislations relating to Banks and Financial Institutions in Tanzania. 

The position requires competence in communication and reporting skills, interpersonal skills, positive attitude, ownership and accountability, as well as analytical and problem-solving skills.  

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Ensure all TWB branches and service centers comply with the banks policies and procedures through surprise visits and also regular testing and assessments;
·         Update and maintain the Branch Operations Risk Registers on a monthly basis, to cover the principal risks;
·         Useof InternalControlChecklist(ICC) to assesscredit, cash and customer operation effectiveness;
·         Work with Branch and Service Center Managers to develop corrective action items for adverse or improvement findings and agreed target closure terms and timelines;
·         Keep and maintain a tracker-register of all issues captured in the scope of the Branch Operations space and follow up with Respective Branch Management to ensure that actions and timelines will be met. Escalate overdue items to the Head of Operations and IT;
·         Compile a risk-control assessment report showing test results, outstanding actions and issues for the Head of Operations and IT on quarterly basis and present the content of the report to the operations Committee;
·         Checking on compliance of branches to the approved pre-disbursement terms and conditions;
·         Identify potentials for credit multi practices that results in booking ghost loans and general credit fraud at our branches and business center;
·         Perform any other duties as may be assigned by the Manager, Operations.

9. PRODUCT SPECIALIST: BANCASSURANCE

JOB TITLE: PRODUCT SPECIALIST: BANCASSURANCE
DEPARTMENT: CREDIT
REPORTING TO: HEAD OF CREDIT

JOB SUMMARY:Responsible for formulating sound and appropriate policies and procedures that will stimulateInsurance Business for women in the bank to ensure that efficient and cost effective insurance servicesare provided to customers and to the general public through the bank’s networks.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must be a holder of a Bachelor Degree/Advanced Diploma in Risk Management and Insurance. Certified Insurance Professional Certificate will be of an added advantage.  She/he must have at least 3 years of working experience in insurance business with proven understanding of insurance laws and regulations of the country.

This position requires high levels of faithfulness and integrity. The candidate should be smart and decisive. She/he must have analytical skills to identify risks and formulate insurance packages for women groups.  Marketing and Customer Services skills with ability to cross-sale are also key required skills.

KEY RESPONSIBILITIES AND DUTIES
·         Design tailored insurance products for women.
·         Review the existing customer products with an aim of improving the product propositions by embedding insurance products;
·         Ensure the development of insurance agency policies and Manual and thereafter initiate regular review in line with the annual plans and with the changing business climate;
·         Systematic plan and implement the rollout of insurance agency business to all branches in line with the annual plans;
·         Ensure that there is adequate insurance cover for all customers ‘mortgaged properties/collaterals covering loans and overdrafts, on a daily basis;
·         Ensure that The Insurance Agency business of the bank is marketed/promoted aggressively in order to attract customers, in line with the annual plans;
·         Ensure that premiums are collected and remitted to the Brokers within time of the day in which cover under the policy incepted or the date on which the policy is renewable or in which an endorsement was made, as stipulated in the Insurance Regulations;
·         Vigorous follow up of claims of the bank and customers lodged, through our Brokers, with insurers and ensure that they are promptly paid by the insurance company;
·         Supervise work of all staff within the Insurance Department ;
·         Perform any other duties as may be assigned by Head of Department
10. PRODUCT SPECIALIST; LEASING FINANCING

JOB TITLE: PRODUCT SPECIALIST: LEASING FINANCING
DEPARTMENT: CONSUMER AND BUSINESS BANKING
REPORTING TO: PRODUCT MANAGER: ASSET FINANCING

JOB SUMMARY: As part of women empowerment through industrialization the role will aim at enabling women in informal sector to access more and better production machinery and/or equipment to improve turnover and eventually turnover. For example enable smallholders to acquire irrigation facilities, agricultural machines and small to medium agro processing facilities through lease finance for increasing agricultural production.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must hold a Bachelor Degree/Advanced Diploma in Finance, Economics or Property Management. Possession of MBA, ACCA, and other related Professional Certification will be of an added advantage. She/he must have at least 2 years working experience in leasing or marketing of Hire Purchase products and/or other related financial products.

The job requires interpersonal skills, self-motivation and networking skills.  Other skills include research skills, desire to exceed sales targets through innovation and creative means, and competence in communication skills both oral and written.

KEY RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Conduct market research and explore potential machine and equipment to support women in small business;
·         Handle leasing administration works of all related leasing matters, including preparation of offer, leasing agreement and monthly payments;
·         Assist Management to handle all leasing, sale & purchase transactions and scrutinize relevant legal document and familiar with related procedures;
·         Prepare reports, presentations and transaction approval papers;
·         Manage and ensure the service and deliverables in compliance with the Bank in-house guidelines and policies.
·         Perform any other duties as may be assigned by Product Manager

11. CREDIT ADMINISTRATOR

JOB TITLE: CREDIT ADMINSTRATOR
DEPARTMENT: CREDIT
REPORTING TO: HEAD OF CREDIT

JOB SUMMARY: Responsible for managing and ensuring credit files are kept in order and secured.  The role enhances smooth administration of credit including updated registry of credit.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must be a holder of Bachelor Degree/Advanced Diploma in accounting with at least 3 years’ experience in credit department preferably in banking sector or financial institution.  She/he must have proven knowledge of Banker’s Realm Accounting System.

Skills required for this post include computer software skills in particular Microsoft Office Excel, ability to learn new software for data management, and capacity to carry out multiple tasks simultaneously.
RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Preparation of bank credit reportsandCustodian of all Bank Collaterals;
·         Keep and maintain a clean & well-arranged collateral custody room;
·         Proper control of the collateral custody room keys;
·         Receive & issue securities to authorized persons i.e. clients who have finished the loans (after verifying in the system), When the security is needed by management/auditor/branch level for official use;
·         Preparation of end-month provision report;
·         Register any security issued or received and the reason for such order in the register book. Make follow up to any security issued out for official use;
·         Crosscheck whether the loan conditions have been fulfilled before disbursement of the loan;
·         Confirm the availability of the loan security, and Mortgage of securities;
·         Review Loan & Guarantee application;
·         Perform any relevant duties as may be assigned by the supervisor.

12. MANAGER, HUMAN CAPITAL

JOB TITLE: MANAGER, HUMAN CAPITAL
DEPARTMENT: FINANCE AND ADMINSTRATION
REPORTS TO: HEAD OF FINANCE AND ADMINSTRATION

JOB SUMMARY: Responsible for initiating, developing and ensuring the implementation of appropriate Human Resources and Administration policies and procedures to ensure that the bank attracts, motivates and retains the right caliber staff, facilitating the alignment of TWB’s organization, people and culture to its strategic business plan, through the provision of services in all aspects of Human Resources Management.

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must be a holder of Bachelor Degree in Human Resources Management /Public Administration /Law or related subject from a recognized institution. She/he must have at least 7 years of experience of which 5 must be in senior/managerial human resources position.

Soft skills required for this post include highest degree of integrity, compassion, and well-developed leadership skills. Performance management and team coaching are also required competence for this job. The candidate must haveproven ability of communication skills.

RESPONSIBILITIES AND DUTIES:
·         Develop appropriate human resource/administration policies and procedures and ensure their effective implementation;
·         Prepare budget in area of influence, obtain approval and control expenditure within budget;
·         Monitor the compensation and benefits trends in the market to ensure bank’s benefits are fair and consistent and advise management accordingly;
·         Prepare recruitment plans, coordinate the recruitment, induction, placement and overall manpower planning for the bank;
·         Coordinate the performance management system of the bank and ensure its implementation by all business units;
·         Guide management and staff on all matters relating to industrial employee relations;
·         Coordinate the capacity building strategies for the bank and monitor bank’s training programs;
·         Manage the Employee Wellness Program (EWP) including medical programmes of the bank’s employees and their dependents;
·         Prepare Monthly, Quarterly and Annual Human Resources Reports;
·         Review work performance of staff in the directorate including their development and welfare in line with the bank’s policies and objectives;
·         Perform any other duties as may be assigned by the Head of Department.


13: DIRECT SALES AGENTS (DSA)

JOB TITLE: DIRECT SALES AGENTS (DSA)
DEPARTMENT: CONSUMER AND BUSINESS BANKING
REPORTS TO: PRODUCT MANAGER – SALARY BACKED LOAN
CONTRACT: ON COMMISSION BASIS

JOB SUMMARY: Represents the frontline sales and service force in the field acting on behalf of TWB. The position entirely focused on customer acquisition by selling of salary backed loans and deposit mobilization

QUALIFICATIONS AND SKILLS REQUIREMENTS: The applicant must possess both technical and soft skills to obtain this job. The technical skills should be supported by academic qualification and experience while the soft skills are based on attitudes and related competencies.

The candidate must be a holder of Bachelor Degree/Advanced Diploma in accounting with at least 1 years’ experience in credit department preferably in banking sector or financial institution.

This position requires high levels of faithfulness and integrity. The candidate should be smart and decisive. She/he must have analytical skills to identify risks and formulate insurance packages for women groups.  Marketing and Customer Services skills with ability to cross-sale are also key required skills.

DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
·         Cross selling of tailored Salary Backed Loan product to women employees of both public and private institutions by describing product features, requirements and benefits of Salary Backed Loans product to customers.
·         Participating in all sales and activations activities as organized by branches or that are being organized by Salaried Loans product Manager.
·         Recruiting, receiving customer application documents, advising on the amount of loan that one can qualify and preparation of upload sheet for qualified customer
·         Doing market intelligence within industries to establish strategies and executed by our competitor to service the women segment.
·         Preparation of daily sales report for the branch and submit it to branch manager and SBL sales champion for recording purposes and future actions.
·         Preparing loan applications register for his/her branch and maintain the record for loan tracking purposes.
·         Preparing upload sheets and submit it to control and monitoring officer/supervisor ready for sending to employer to affect them in Lawson system.
·         Receiving and recording all successful and unsuccessful uploads shared by control and monitoring officer from Lawson team.
·         Ensuring smooth flow of work and providing high quality personal services to customers.
·         Mobilizing and identifying  government institutions for business expansion
·         Verification of applications forms to the employer, verification of customers’ information entered to the system.
·         Daily follow up of arrears report and immediately preparation of returns to employers for deductions.
·         Cross checking portfolio once the upload is finished to ensure all customers’ deductions are passed successful.
·         Perform any other duties as may be assigned by the Line Manager.


HOW TO APPLY
Interested candidates should send their CV and copies of professional certificates with a cover letter explaining why they are suitable for the post to the address below by 13th November 2017.

This advertisement can also be accessed on our Website: www.womensbank.co.tz or and any of our social networks accounts.

Applications should be addressed to:

Managing Director,
Tanzania Women’s Bank Plc,
KarimjeeJivanjee Building 1st Floor,
Opposite Old Post DART Bus stop,
P.O. Box 72604,
Dar es Salaam.

Or send your application through info@womensbank.co.tz

Note: The Envelope should bear the positions applied for

   “FEMALE CANDIDATES WILL BE HIGHLY CONSIDERED”


Manchester United yaingiwa na hofu juu ya Jose Mourinho

Ripoti kutoka nchini Uingereza hii jana zinasema klabu ya Manchester United imenza kuwa na hofu juu ya kocha Jose Mourinho kwani anahisiwa ...