Tuesday, 26 September 2017

Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjani

Jose Mourinho on the touchline at St Mary'sJose Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjani wakati wa mechi kati ya Manchester United Siku ya Jumamosi.
Meneja huyo na Manchester United alitumuliwa na refa Craig Pawson, kwa kuingia uwanjani wakati wa mechi ambayo Man U walishida kwa bao 1-0.
Baada ya kupokea ripopti ya refa, shirikisho la kandanda barani Ulaya la FA, liliamua kuwa halitachukua hatua zaidi dhidi yake.
Mourinho alipigwa marufuku mara mbili na shirikisho la FA msimu uliopita

No comments:

Post a Comment

Manchester United yaingiwa na hofu juu ya Jose Mourinho

Ripoti kutoka nchini Uingereza hii jana zinasema klabu ya Manchester United imenza kuwa na hofu juu ya kocha Jose Mourinho kwani anahisiwa ...