Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) anapenda kuwataarifu
Waombaji kazi wote walioomba kazi za KCMC kuwa usaili unatarajiwa
kuendeshwa kuanzia tarehe 26 - 27 Oktoba, 2017 na hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi Waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

KUONA MAJINA YA WALIWOITWA KWENYE KWENYE USAILI.>>>> BONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment